TAARIFA KWA UMMA.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist W. Ndikilo ametoa Agizo la kuwataka madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda Wilayani Rufiji kusitisha huduma za kubeba abiria ifikiapo saa 12:00 jioni kuanzia tarehe 29/03/2017.
Agizo hilo limekuja kufuatia mtiririko wa matukio yanayoendelea ya mauaji ya Wenyeviti wa vyama na Serikali ngazi ya vijiji, huku wahusika wa mauaji hayo wakionekana kutumia usafiri wa pikipiki
Kusoma AGIZO hilo kwa kina, Bofya hapa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.