TAARIFA KWA UMMA.
Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Pwani amehitimisha ziara yake ya awamu ya kwanza ya uwekaji wa mawe ya Msingi kwenye Viwanda katika Wilaya za Bagamoyo, Kibaha, Mkuranga na Rufiji. Viwanda alivyoweka mawe ya Msingi ni hivi vifuatavyo:-Bonyeza hapa kuona viwanda hivyo
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.