Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mhandisi Evarist Ndikilo atafanya ziara ya kikazi katika halmashauri zote za mkoa Mkoa wa Pwani ya kusikiliza na kutatua migogoro ya Ardhi ,kukagua Miradi ya maendeleo iliyopewa Fedha za Serikali kuu na Halmashauri za Wilaya , Miji pamoja na kusikiliza kero za Wananchi MkoaniPwani kuanzia tarehe 12 hadi 25 Agosti.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.