• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Maji

Hali ya Upatikanaji wa Maji Mkoa wa Pwani.

Vyanzo vikuu vya maji katika Mkoa wa Pwani ni pamoja na mito mitatu (3) ya kudumu ya Rufiji, Ruvu na Wami, mabwawa ya asili na yale ya kutengenezwa na binadamu, uvunaji wa maji ya mvua na uchimbaji wa maji ya chini ya ardhi. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 inaonyesha kwamba Mkoa wa Pwani ulikuwa na watu wapatao 1,098,668 na hadi kufikia mwezi Septemba, 2015, Mkoa ulikuwa ukitoa maji safi na salama kwa wakazi 834, 345 sawa na asilimia 75.9 ikilinganishwa na asilimia 60 ya mwaka 2005.  

Upatikanaji huu wa maji unapishana kati ya Mijini na Vijijini. Takwimu zinaonyesha kwamba wakazi wa Vijijini wanaopata maji ni asilimia  75.5 ya wakazi wote wanaoishi Vijijini wakati asilimia 51.9 tu ya wakazi wanaoishi katika Makao Makuu ya Halmashauri za Miji ya Mkoa wa Pwani ndio wanaopata maji safi na salama. Hii ni pamoja na Miji ya Kibaha na Bagamoyo inayohudumiwa na mtandao wa mfumo wa maji wa DAWASA

Mamlaka za Bodi za Maji Safi na Usafi wa Mazingira

Mkoa wa Pwani una Mamlaka za Maji sita (6). Mamlaka hizi nipamoja na DAWASA (ambayo inatoa huduma ya majisafi na ukusanyaji wa maji taka katika jiji la Dar es Salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo), CHALIWASA (CHALINZE), Mamlaka za Maji za Miji ya Kilindoni (Mafia), Kisarawe, Mkuranga na Mamlaka ya Maji ya Mji wa Utete (Rufiji). Ukiiacha mamlaka ya maji ya DAWASA iliyopo katika daraja la A mamlaka tano zilizobaki zipo katika kundi la daraja C. (Picha hii ni mtambo wa kusafisha maji CHALIWASA).



 


Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 - MKOA WA PWANI December 18, 2020
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA PWANI MH. MHANDISI EVARIST NDIKILO YA KUSIKILIZA NA KUTATU KERO ZA WANANCHI. August 10, 2020
  • TAARIFA KWA UMMA - AWAMU YA KWANZA YA VIWANDA VILIVYOWEKEWA MAWE YA MSINGI NA MHESHIMIWA ENG. EVARIST NDIKILO, MKUU WA MKOA WA PWANI August 30, 2019
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Ndikilo ameridhishwa na Kasi ya Shirika la Umeme Tanesco Mkoa Pwani

    February 18, 2021
  • Wawekezaji Kufanya Tathmini ya Athari kwa Mazingira ni Muhuimu-Rc Ndikilo

    February 17, 2021
  • Kivuko cha MV Kilindoni -Hapa kazi tu Chakamilika na kukjabidhiwa Wilayani Mafia tayari kwa Matumizi.

    February 02, 2021
  • RC Ndikilo alitaka Jeshi la Polisi Mkoa Pwani Kutoa ulinzi Kwa wananchi wote w bila kujali uwezo wa Mtu.

    February 01, 2021
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.