Posted on: July 11th, 2024
Mkoa wa Pwani umeweza kupunguza vifo vya mama wajawazito kutoka vifo 37 na kufikia vifo 12 na watoto toka vifo 358 hadi 178 kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu kuanzishwa mfumo wa Rufaa unaote...
Makadirio ya Idadi ya watu kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi 2022 Mkoa una jumla ya idadi ya watu 2,024.949 wakiwa wanawake 990,616 na Wanaume 1,026,331 = 2,024,947