Posted on: September 11th, 2024
Mwenyekiti wa kamati Kudumu ya Bunge Elimu,Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Husna Juma Sekiboko, ameipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muun...
Makadirio ya Idadi ya watu kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi 2022 Mkoa una jumla ya idadi ya watu 2,024.949 wakiwa wanawake 990,616 na Wanaume 1,026,331 = 2,024,947