Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani kupitia Program ya BBT-LIFE imepitia maombi yote na kukagua nyaraka na sifa zilizowasilishwa kwenye tangazo la maombi , hivyo inapenda kuwaatarifu waombaji wote kuwa Usaili utafanyika tarehe 25/06/2024 na tarehe 26/06/2024 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani kuanzia saa 2.30 asubuhi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.