Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani ikishirikiana na SIDO kanda ya Kusini Mashariki, Wanakukaribisha kwenye maonesho ya 3 ya Uwekezaji na Biashara yanayotarajiwa kuanza tarehe 05 -10 Oktoba 2022, katika viwanja vya Stendi ya zamani, Maili moja, Kibaha , Pwani.
Bofya hapa kupakua fomu ya ushiriki wa Maonesho ya Uwekezaji na Biashara Mkoani Pwani 2022.pdf
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.