Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhe. Abubakar Kunenge anawaalika wafanyabiashara wote Mkoani Pwani katika kikao cha Baraza la Biashara kinachotarajia kufanyika tarehge 19 Juni 2021, saa tatu na nusu asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.