LEO Octaba 4 , Mkoa wa Pwani unafanya Uzinduzi wa Program Jumuishi ya malenzi , Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto.
Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na mgeni Rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhe. Abubakar Kunenge.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.