Sunday 8th, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Pwani Mhe: Abubakar Kunenge anawakaribisha wajumbe wote wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa , katika kikao maalum cha kamati ya uchauri ya Mkoa (RCC) kwa ajili ya kukusanya maoni ya Dira ya Taifa ya maendeleo 2050 tarehe 14 Agosti 2024 kitakachofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.