• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Asasi za Kiraia Zatakiwa Kuimarisha Uwajibikaji, Uwazi na Ushirikiano na Serikali.

Posted on: June 26th, 2025

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Nsajigwa George, amezitaka asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni, uwazi na uwajibikaji ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma kwa jamii.

Nsajigwa ametoa kauli hiyo Juni 26 wakati akifungua Mkutano wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Pwani, uliofanyika katika Ukumbi wa mdogo wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pwani.

Katika hotuba yake, alisisitiza umuhimu wa mashirika hayo kuzingatia taratibu za kisheria katika utekelezaji wa majukumu yao, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

“Mwaka2025 ni mwaka wa uchaguzi. Naomba niagize kuwa mashirika yote yafanye kazi kwa kuzingatia sheria na kanuni. Msibadilike na kuwa sehemu ya migawanyiko ya kisiasa au Uchochezi. tunawategemea katika kulinda amani na utulivu, ambayo ni tunu ya taifa,” alisema Nsajigwa.

Aidha,alieleza kuwa mashirika hayo ni wadau muhimu wa Serikali katika kusukuma gurudumu la maendeleo, kuimarisha ustawi wa jamii, na kutekeleza malengo ya Dira ya Maendeleo ya Taifa pamoja na mikakati ya kupunguza umaskini.

Katika hatua nyingine alimuagiza Msajili Msaidizi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Pwani, Grace Tete, kuhakikisha anakusanya changamoto, mapendekezo na michango ya mashirika hayo kwa lengo la kuyafanyia kazi kwa pamoja ili kuboresha utoaji wa huduma zenye tija.

Kwa upande wake, Mwakilishi kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, ambaye pia ni Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Mkuu kutokaOfisi ya Msajili wa NGOs, Charles Komba, alisisitiza umuhimu wa utoaji wataarifa sahihi za kifedha na idadi ya walengwa waliowafikiwa kwenye ngazi yamkoa, pamoja na kujenga uhusiano thabiti na wafadhili.

“Serikali imetambua umuhimu wa mashirika haya na imeweza kuandaa miongozo mbalimbali ikiwemo Mwongozo wa Mchango wa NGOs, pia ushirikishwaji wao katika vikao vya ngazi ya kata, wilaya na mkoa, pamoja na kuandaa mfumo wa usajili wakielektroniki wenye ufanisi zaidi,” alisema Komba.

Naye Mwenyekiti wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Mkoa wa Pwani, Prisca Ngweshem,alishukuru Serikali kwa ushirikiano unaoendelea kutolewa na kuahidi kuendeleza mashirikiano hayo, hususan katika utoaji wa elimu kwa jamii, huduma bora na takwimu sahihi, ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200