• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Dkt Samia amekuwa Shujaa katika kusimamia Miradi ya Maendeleo-RC Kunenge

Posted on: July 25th, 2024

Serikali Mkoani Pwani, imesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa shujaa katika kuendelea kusimamia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa reli ya mwendo kasi hadi kufikia hatua ya kuanza usafirishaji.

Imempongeza kwa hatua ya kuzindua treni ya mwendokasi ya (SGR) kuanzia Dar es salaam kwenda Dodoma kwani ni tukio la kishujaa.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa pongezi hizo wakati wa kuadhimisha ya Kumbukumbu ya Mashujaa kimkoa yaliyofanyika viwanja vya ofisi ya mkoa huo, Julai 25, mwaka huu.

Kunenge alieleza, jambo hilo ni kubwa na la kihistoria ambalo Rais ameweka rekodi ya usimamizi mzuri wa utawala wake.

Mkuu huyo wa mkoa, alifafanua baadhi wapinga uchumi walijaribu kuhujumu miradi mikubwa ya kitaifa lakini kwa utendaji kazi wa Rais wameshindwa.

"Wakati tukiendelea kuwakumbuka na kuwaenzi mashujaa wetu, Tumuombee Rais kwa kazi hii kubwa anayoifanya kuhakikisha miradi mikubwa ya kimkakati inasonga mbele, Tumeshuhudia utekelezaji wa mradi huu wa reli ya SGR na bwawa la uzalishaji umeme kule Stigo Rufiji,"alifafanua Kunenge.

Kunenge aliomba jamii kuendelea kuwaenzi mashujaa wetu waliopigania Taifa letu,ambao wameshafariki na ambao bado wapo hai.

Hata hivyo, Kunenge aliwaomba wananchi Mkoani Pwani, kujitokeza agost mosi katika baadhi ya vituo ambavyo Rais Samia atasimama kusalimia kwenye reli ya SGR inayopita Mkoani humo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77