• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Dumisheni Umoja na Utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu- Kamati ya Amani Pwani

Posted on: October 28th, 2025

Kamati ya Amani ya Mkoa wa Pwani imewahimiza wananchi kuendelea kudumisha umoja, upendo na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ikisisitiza umuhimu wa kulinda amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kamati hiyo inayojumuisha viongozi wa Dini mbalimbali Mkoani humo imektana na waandishi wa habari leo Oktoba 28, 2025 na kutoa taarifa yao ya pamoja.

Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Mchungaji Julius Shemkai wa Kanisa la KKKT, alisisitiza umuhimu wa utulivu siku ya kupiga kura na kuwataka wananchi kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuleta vurugu.

“Tujiepushe na maandamano yasiyoruhusiwa, uharibifu wa vituo vya kupigia kura au mikusanyiko isiyo halali,” alisema Mchungaji Shemkai.

Aliwapongeza wagombea na vyama vya siasa kwa kuendesha kampeni kwa amani na ustaarabu katika kipindi cha miezi miwili ya kampeni, bila kutumia lugha za matusi au chuki.

Mchungaji Shemkai pia aliwahimiza wapiga kura kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi, kutumia haki yao ya kidemokrasia kumchagua Rais, Mbunge na Diwani, na baada ya kupiga kura kurejea majumbani au kuendelea na shughuli zao wakisubiri matokeo kwa utulivu.

Naye Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Sheikh Khamis Mtupa, alitoa wito kwa Watanzania wote kujiweka mbali na uchochezi wa aina yoyote unaoweza kuhatarisha amani ya nchi.

“Tupuuze maneno na vitendo vya uchochezi vinavyolenga kuvuruga uchaguzi na utulivu wa taifa letu. Tanzania ibaki salama kabla na baada ya uchaguzi,” alisema Sheikh Mtupa.

Amesema kila Mtanzania ana jukumu la kulinda amani, akisisitiza kuwa hakuna sababu ya mtu kumzuia mwingine kutumia haki yake ya kikatiba ya kupiga kura.

“Hatuna nchi nyingine ya kwenda kuishi. Uchaguzi ni haki ya kila raia, hivyo asitokee yeyote kumzuia mwingine kutumia haki hiyo kwa sababu binafsi,” aliongeza Mtupa.

Akiendelea, Sheikh Mtupa aliwasihi wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha wanatenda haki kwa vyama vyote na wagombea, ili kudumisha imani ya wananchi katika mchakato wa uchaguzi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88