• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

Posted on: January 2nd, 2026

Waziri Mkuu  Dkt Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Maji kuhakikisha mradi wa Bwawa la Maji Kidunda hausimami na unakamilika kwa wakati ili uanze kutoa huduma ya maji kwa wananchi.

Ametoa wito huo leo (Ijumaa, Januari 02, 2026) wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa bwawa hilo lililopo Wilaya ya Morogoro, mkoani Morogoro.

Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa mradi huo unaakisi maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha anakabiliana na changamoto ya upungufu wa maji hasa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.

“Kiongozi wetu anaona mbali; aliamua kuutekeleza mradi huu katika kipindi ambacho kulikuwa na utekelezaji wa miradi mingine mikubwa na ya kimkakati iliyotumia fedha nyingi. Serikali inachukua hatua ili kukabiliana na changamoto za Watanzania.”

Wakati huohuo, Dkt. Mwingulu ameiagiza Wizara ya Maji wahakikishe wanaandaa jedwali litakalomsaidia mkandarasi katika utekelezaji wa mradi huo ili uweze kukamilika kwa wakati.

Kwa upande wake, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema kuwa kukamilika kwa mradi huo utakaogharimu shilingi bilioni 366 kutasaidia kuzalisha takribani megawati 20 za umeme. Amesema mbali na kutoa huduma ya maji, mradi huo utawezesha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 72.

Ameongeza kuwa mradi huo utasaidia kuhifadhi lita bilioni 190 za maji zitakasaidia matumizi ya nyumbani hasa kipindi cha ukame wakati kina cha mto Ruvu kinapopungua.

Naye, Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema mradi huo utasaidia katika sekta ya kilimo kwani eneo kubwa linalozunguka bwawa hilo ni zuri kwa ajili ya shughuli za kilimo hivyo wizara itawezesha kilimo cha umwagiliaji katika maeneo hayo.

Ziara hiyo imehusisha mawaziri wa kisekta akiwemo Waziri wa Maji, Mheshimiwa Juma Aweso, Naibu Waziri wa Nishati, pamoja na Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Daniel Chongolo.

Viongozi wengine waliohudhuria ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mheshimiwa Abubakar Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Adam Malima, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, Makatibu Tawala wa Mikoa ya Pwani na Morogoro pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98