• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Aanza Ziara ya Kikazi Kisarawe, Akagua Miradi na Kusisitiza Uwajibikaji.

Posted on: August 18th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, ameanza rasmi ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kutembelea halmashauri zote za Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kufanya vikao kazi na watumishi wa umma.

Akiwa Kisarawe, Katibu Tawala ametembelea miradi minne ya maendeleo na kueleza kuridhishwa kwake na namna miradi hiyo ilivyotekelezwa. Aidha, amempongeza na kumshukuru Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, kwa ushirikiano mkubwa aliouonesha katika kufanikisha ziara hiyo.

Katika kikao na watumishi wa halmashauri, Mnyema amewataka kufanya kazi kwa weledi, kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.

Ameeleza kuwa watumishi wana wajibu wa kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na kusaidia kufanikisha malengo ya Serikali chini ya uongozi wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumzia ukusanyaji wa mapato, Katibu Tawala aliipongeza halmashauri kwa kuvuka malengo ya makusanyo ndani ya miaka miwili iliyopita, lakini akasisitiza haja ya kubuni mbinu mpya za kuongeza mapato zaidi.

"Kisarawe ina uwezo mkubwa wa kukusanya mapato kuliko inavyokusanya sasa. Tukiunganisha nguvu, tunaweza kuinua halmashauri yetu kwa kiwango kikubwa zaidi,” alisema Mnyema.

Amesisitiza pia kuwa fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo zisimamiwe kwa uadilifu na miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika.

Ziara ya Katibu Tawala wa Mkoa itaendelea katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Bagamoyo Yatangazwa Rasmi Kuwa Halmashauri ya Mji – Serikali Kupeleka Zaidi ya Milioni 1,000 kwa Miradi ya Maendeleo.

    August 22, 2025
  • Mchengerwa Atoa Wito kwa Watumishi wa Afya Kuhudumia Wananchi kwa Upendo,

    August 22, 2025
  • Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Aanza Ziara ya Kikazi Kisarawe, Akagua Miradi na Kusisitiza Uwajibikaji.

    August 18, 2025
  • Mradi wa Mifumo ya Umeme Jua na Usamabazaji wa Majiko Banifu kwa Bei ya Ruzuku waanza Mkoani Pwani.

    August 18, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.