• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Kiwanda cha Goodwill na Sapphire watoa msaada kwa wahanga wa changamoto ya mafuriko Kibiti na Rifiji

Posted on: April 23rd, 2024

Kiwanda cha marumaru cha Goodwill pamoja na kiwanda cha kutengeneza vioo cha Sapphire -Mkiu  Mkuranga Mkoa wa Pwani ,kimetoa misaada mbalimbali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Rufiji .

Kati ya misaada hiyo ni pamoja na mifuko 70 ya unga wa sembe yenye kilo 50 kila mmoja ,mifuko 10 ya mchele,na mifuko kumi ya sabuni.

Akipokea misaada hiyo kutoka kwa Ofisa raslimali watu wa kiwanda cha Goodwill na Sapphire Jerry Malandu, Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta aliwashukuru Goodwill na Sapphire kwa michango yao na mkoa umepokea.

Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, nimepokea misaada hii,na tunawashukuru Goodwill na Sapphire Kwa hiki mlichochangia “

Akikabidhi misaada hiyo kwa niaba ya uongozi wa viwanda hivyo Meneja Rasilimali watu Jerry alieleza, wameshiriki kutoa msaada kwa wananchi wa Rufiji baada ya kuguswa na changamoto za mafuriko yanayowakabili.

“Tumeleta kidogo tulichopata kulingana na biashara tunazozalisha na kuuza za uuzaji wa tiles na vioo, na kurudisha kidogo kwa Jamii, tumeleta unga wa mahindi kg70, mchele viroba 10, sukari na sabuni viroba 20” alifafanua Jerry.

Wadau mbalimbali wanasisitizwa kuendelea kujitokeza kutoa misaada kwa wahanga wa mafuriko yaliyowakumba wananchi kwenye baadhi ya maeneo, mafuriko ambayo yametokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali mkoani Pwani.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777