• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Kunenge aagiza Mafunzo ya Udereva kwa Bodaboda kufanyika Mkoa wote wa Pwani

Posted on: November 30th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, ameagiza mamlaka husika kuhakikisha mafunzo ya udereva kwa maafisa usafirishaji (bodaboda) yanatolewa katika mkoa mzima, na kwamba wahitimu wapatiwe leseni mara tu baada ya kukamilisha mafunzo hayo.

Agizo hilo limetolewa leo, Novemba 30, wakati Mhe. Kunenge akizindua mafunzo ya Udereva kwa maafisa usafirishaji wa Wilaya ya Kisarawe yanayofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya. Amesisitiza kuwa ni muhimu maafisa hao kuwa wazalendo, kulinda amani ya nchi na kuonesha mfano bora wa utendaji kazi ili kuipa heshima Serikali na kumuenzi Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Nyinyi ni wasomi na wadau wakubwa wa uchumi katika nchi yetu. Kwa mujibu wa Katiba, kulinda usalama wa nchi ni wajibu wa kila raia. Uzalendo ni kujiuliza umeifanyia nini nchi yako, siyo imekufanyia nini,” alisema Mhe. Kunenge.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase, amewataka maafisa hao kuunda na kusajili vikundi mara baada ya kupata leseni ili kukidhi vigezo vya kupatiwa mikopo ya asilimia 10. Pia aliwapongeza kwa ushirikiano wao na viongozi katika kutatua changamoto mbalimbali, huku akiwahimiza kuwa mabalozi wa amani na kuepuka matumizi mabaya ya mitandao.

Naye Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Pwani, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Edson Mwakihaba, amewahakikishia washiriki kuwa leseni zao zitatolewa kwa haraka mara tu watakapokamilisha mafunzo.

Akizungumza mbele ya wakufunzi, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petrol Magoti, amewataka maafisa usafirishaji hao kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi, akibainisha kuwa Serikali imeweka mazingira mazuri ya kuwawezesha kufikia malengo hayo. Pia amesema anaendelea kufanyia kazi ombi lao la kupatiwa shamba kwa ajili ya kuanzisha shughuli za kilimo zitakazochangia kuongeza kipato chao.

Akitoa ufafanuzi kuhusu mafunzo hayo, Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe, Sara Ngwele, amesema kuwa hii ni awamu ya pili ya mafunzo, ambapo awamu ya kwanza ilifanyika Novemba 22, 2025 na ilihusisha maafisa usafirishaji 228, huku awamu ya pili ikiwa na washiriki 250. Mafunzo hayo yanatolewa na wakufunzi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) pamoja na VETA.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200