• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

LT Mwambashi akemea vitendo vinavyofanya baadhi ya watu vya uharibifu wa Miundombinu Maji.

Posted on: August 14th, 2021

Kiongozi  wa mbio za mwenge maalum wa uhuru, LT.Josephine Mwambashi amekemea vitendo vya baadhi ya watu wanaoharibu miundombinu ya maji ,ambapo ameiasa jamii kulinda na kutunza vyanzo na miundombinu ya miradi ya maji.

Akizindua mradi wa maji Kijiji cha Nyaminywili , Rufiji mkoani Pwani,unaosimamiwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) na kukamilika kwa asilimia 100 kwa gharama ya milioni 195.358.2, Mwambashi alisema, maji ni uhai yapaswa kulinda miundombinu yake kwa manufaa ya jamii.

Alisema, serikali ya awamu sita ,inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inajitahidi ili kila mwananchi afikiwe na huduma muhimu ikiwemo maji.

Mwambashi alifafanua, Serikali imejipanga kwa kutenga fedha kutekeleza miradi ya maji ,mijini na vijijini ili kuondoa tatizo sugu la maji kwa kumtua ndoo mama kichwani.

Hata hivyo , Mwambashi alielekeza RUWASA kuandaa taarifa ya kiasi cha sh.milioni mbili ambazo hazijawekwa katika taarifa ya mradi huo .

Awali akielezea,mradi huo ,meneja wa RUWASA Rufiji,Tluway Ninga alisema, makisio ya mradi huo yalikuwa milioni 257.543.3 , utekelezaji ulianza julai 2020 na kukamilika julai 2021.

Ninga alisema kuwa, mradi huo unasaidia wakazi 2,573 wa Nyaminywili kwa kupata huduma ya maji safi na salama.

Mkuu wa wilaya ya Rufiji,Meja Edward Gowelle alisema ,amepokea mwenge maalum wa uhuru Agost 14 mwaka huu ukitokea Wilayani Kisarawe.

Meja Gowelle alielezea kwamba ,miradi sita itatembelewa na mbio za mwenge huo ,miradi yenye thamani ya sh.milioni 500.8 .

Mwenge ukiwa Rufiji pia umeweka jiwe la msingi katika ghala la mazao ya Kijiji cha Ndundunyikanza ,ujenzi wa madarasa matatu shule ya sekondari Ujamaa huko Ngorongo ,jiwe la msingi jengo la OPD zahanati ya Kijiji cha Mkongo.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.