• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

Posted on: January 15th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon, amefungua mafunzo elekezi kwa madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze yaliyofanyika leo Januari 15, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Mhe. Nickson amewataka madiwani kuwa mabalozi wazuri wa usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika kata zao, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji, uadilifu na ufuatiliaji wa karibu wa miradi hiyo ili kuhakikisha inaleta tija kwa wananchi.

Amebainisha kuwa amekuwa na utaratibu wa kutoa zawadi kwa madiwani wanaofanya vizuri katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hatua inayolenga kuwahamasisha viongozi hao kutekeleza majukumu yao kwa bidii na weledi.

“Madiwani mnapaswa kuwa wakali katika kufuatilia utekelezaji wa miradi na sheria za Halmashauri kwa kutumia takwimu sahihi, lakini msijenge ukali kwa watu au kushughulikia masuala binafsi,” amesema Mhe. Nickson.

Aidha, amewasisitiza madiwani kutumia lugha ya staha wanapotekeleza majukumu yao ya uongozi, akieleza kuwa lugha ya kiongozi ni msingi wa kujenga mahusiano mazuri kati ya viongozi, wataalamu na wananchi.

“Chuki na hasira zisihitimishe mazungumzo yenu na Wakurugenzi pamoja na wataalamu. Kosoeni miradi, siyo watu,” amesisitiza.

Pia amewahimiza madiwani kujifunza kujishusha na kujipandisha kulingana na mazingira ya uongozi, akibainisha kuwa kiongozi bora anatambua wakati wa kuwa kiongozi na wakati wa kuwa raia wa kawaida na amewataka kujiepusha na tamaa ya kujinufaisha na mali za umma, kukubali kukosoa na kukosolewa, pamoja na kufanya kazi kwa ushirikiano bila ubaguzi wa kisiasa kwa maslahi ya wananchi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot thailand
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • toto slot
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88