• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Mchengerwa Atoa Wito kwa Watumishi wa Afya Kuhudumia Wananchi kwa Upendo,

Posted on: August 22nd, 2025

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amewataka wataalamu wa sekta ya afya nchini kufanya kazi kwa weledi, kusikiliza wananchi na kuwahudumia kwa moyo wa huruma na upendo.

Wito huo umetolewa leo, Agosti 22, 2025, wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, ambapo alikagua miradi ya maendeleo ikiwemo ukarabati wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo na ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Nia Njema.

Katika ziara hiyo, Mhe. Mchengerwa pia alizindua jengo jipya la wagonjwa wa nje (OPD) katika hospitali hiyo, na kutoa pongezi kwa watumishi wa sekta ya afya kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuwahudumia wananchi.

“Kada ya afya ni kada ya kujitolea sana. Hivyo, niwaombe muendelee na moyo huo huo wa kuwahudumia wananchi kwa upendo na kujali utu wao,” alisema Mchengerwa.

Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt. Kandi Lussingu, alisema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ilipokea shilingi milioni 900 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu chakavu ya hospitali hiyo.

Alisema kazi zilizofanyika ni pamoja na ukarabati wa majengo ya huduma ya mama na mtoto (RCH), jengo la utawala, wodi tatu, stoo ya dawa, nyumba ya watumishi, jengo la OPD ya zamani, wodi ya wazazi (ghorofa moja) na njia za watembea kwa miguu (walkways). Mradi huo umetekelezwa kwa kutumia mfumo wa Force Account.

Katika hatua nyingine, Mhe. Mchengerwa alipata fursa ya kukagua na kuzindua bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Nia Njema. Bweni hilo limejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 134.7 na lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 80.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Bagamoyo Yatangazwa Rasmi Kuwa Halmashauri ya Mji – Serikali Kupeleka Zaidi ya Milioni 1,000 kwa Miradi ya Maendeleo.

    August 22, 2025
  • Mchengerwa Atoa Wito kwa Watumishi wa Afya Kuhudumia Wananchi kwa Upendo,

    August 22, 2025
  • Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Aanza Ziara ya Kikazi Kisarawe, Akagua Miradi na Kusisitiza Uwajibikaji.

    August 18, 2025
  • Mradi wa Mifumo ya Umeme Jua na Usamabazaji wa Majiko Banifu kwa Bei ya Ruzuku waanza Mkoani Pwani.

    August 18, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.