Mkuu wa Mkoa wa Pwani Akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa mkutano wa wadau wa SGR (Standard Gauge Railway) ulioandaliwa na Rahco na kuhudhuriwa na wadau mbalimnali wakiwemo wataalam wa ujenzi wa reli hiyo kutoka Uturuki na wadau kutoa Mkoa wa Pwani hususani wale wanaopitiwa na Reli hiyo
Baadhi ya wadau mbalimbali kutoka Mkoani Pwani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa SGR kuhusu ujenzi wa reli ya viwango vya kimataifa uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Ndg. Zuberi M. Samataba akichangia jambo katika mkutano huo wa wadau wa SGR
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.