• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

"Nashukuru Sensa hii imefanywa kwa uzalendo na Wananchi walikuwa na muitiko Mkubwa " Anne Makinda

Posted on: September 14th, 2022

Kamisaa wa Sensa Anne Makinda ameeleza, Maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2032 inategemea mafanikio na ufumbuzi wa changamoto zilizojitokeza sensa ya mwaka 2022 ili kuleta matokeo chanya.

Ameelezea kwamba, ameshukuru Sensa hii imefanywa kwa uzalendo na wananchi walikuwa na muitiko mkubwa.

Akizungumza na Kamati ya Sensa mkoa wakati akipokea taarifa ya sensa mkoa wa Pwani, Makinda alisema ni mkoa wa kwanza baada ya Zoezi hilo kukamilika , kuelekea kwenye taarifa sahihi na ya kina ya sensa itakayotolewa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan mwezi octoba mwaka huu.

Alieleza, maandalizi na matokeo mazuri ya sensa ya mwaka 2032 yanatokana na kujifunza kutokana na changamoto zilizojitokeza sasa ili kujikosoa.

Hata hivyo Makinda alisema, Zoezi limefanikiwa kwa asilimia 99.99 na mikoa Kama mkoa wa Pwani wenye asilimia 136 ambayo asilimia zimezidi imetokana na makisio Yao waliyojiwekea kabla ya zoezi kukamilika.

Vilevile alisema kwamba, Takwimu zilizopo zisaidie kuanzia ngazi ya chini kwa kutumia data ili kupanga mipango ya maendeleo na Serikali kujifunza kupanga miji yake.

“Kwetu sisi hatuna tamaduni ya kutumia takwimu, tujifunze na sisi kujiendeleza,kupanga mipango kwa kutumia data.

“Kuwa na idadi kamili ya wamachinga, wafanyabiashara, kundi la walemavu,watoto wa kike wanaoelekea kuzaa kujua idadi Yao,magorofa mangapi ,nyumba za kawaida ngapi ili kupanga mpango mzuri wa Maendeleo mbalimbali, miundombinu ya maji,umeme,maji taka na mengine “alibainisha Makinda.

Makinda alielezea ,Vishkwambi vinarudishwa katika Taasisi husika ikiwemo UNICEF,NBS,Wizara ya elimu na Kama vimeharibika vitengenezwe ,kwani Kama vya NBS vinarudishwa kuendelea na tafiti nyingine.

Awali akinkaribisha kamisaa, Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhe.Abubakari Kunenge alisema Zoezi la sensa Mkoani humo limefanikiwa kwa asilimia 136.

Alieleza,wilaya ya Mkuranga imeonekana Kuwa idadi kubwa ya watu hali iliyosababisha kuongeza nguvu ya makarani kutoka wilaya nyingine ili kufanikisha zoezi hilo.

Kunenge alieleza, mkoa huo walikuwa wakichangia pato la taifa 1.94 kwa mwaka 2018 hivyo wanaamini baada ya kupata picha halisi ya takwimu ya watu na makazi pato litapanda.

Akiwasilisha Taarifa ya Sensa ya Mkoa Mratibu wa sensa mkoa wa Pwani,Adella Temba ,alitaja changamoto kwa baadhi ya maeneo kuwa na idadi kubwa ya kaya na majengo ya kuhesabu isiyoendana na idadi ya makarani waliopangwa hasa katika Halmashauri ya Mkuranga.

Alieleza, wakufunzi 81 kutoka Kisarawe, Bagamoyo, Kibiti, Kibaha Mji na Dar es Salaam ,”makarani 50 kutoka Kisarawe na 600 kutoka Dar es Salaam maeneo ya Temeke,Twangoma, Mbagala, Chang’ombe,Manzese na Kijitonyama walihamishiwa Mkuranga kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi.

Adella alipendekeza, wataalamu wa GIS wafanye mapitio ya maeneo yaliyotengwa (EA) ili kutoleta changamoto kwenye tafiti zijazo.

Changamoto nyingine ni baadhi ya wananchi kutopatikana majumbani ,vishkwambi kutokuwa na uwezo wa kutunza chaji kwa muda mrefu kiasi cha kuathiri Zoezi siku ya kwanza, baadhi ya kaya kutojua lugha ya Taifa na kusababisha makarani kutumia wakalimani, Changamoto ya mipaka na maeneo mengine kuwa makubwa kijografia huku baadhi ya maeneo hayakuwekwa kwenye ramani za kuhesabiwa watu.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.