• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

Posted on: January 5th, 2026

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amesema Mkoa wa Pwani unaendelea kutekeleza kwa vitendo vipaumbele vya Serikali, hususan katika eneo la uzalishaji wa ajira kwa vijana, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kunenge ametoa kauli hiyo Januari 05, 2026, wakati wa ziara yake ya kutembelea kongani ya viwanda ya Gaini Company Limited iliyopo Kata ya Kikongo, Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Amesema kongani hiyo inatarajiwa kuzalisha ajira zipatazo 1,500 ifikapo mwezi Machi 2026, huku zaidi ya vibarua 300 tayari wakipata ajira katika hatua ya ujenzi wa mradi huo.

Amesema uwekezaji huo unaendana kikamilifu na mkakati wa Serikali wa kukuza uchumi wa viwanda na kuongeza fursa za ajira kwa wananchi, hususan vijana, hatua inayochochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Mkoa wa Pwani pamoja na kuongeza mapato ya Taifa. Katika hilo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuvutia wawekezaji na kuweka suala la ajira kuwa kipaumbele cha Serikali.

Aidha, Kunenge amesema Mkoa wa Pwani unaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi wezeshi zikiwemo TANESCO, DAWASA na TANROADS ili kuhakikisha hakuna urasimu unaokwamisha utekelezaji wa miradi ya uwekezaji. Ushirikiano huo unalenga kuhakikisha upatikanaji wa huduma muhimu ikiwemo nishati ya umeme, maji safi na salama pamoja na miundombinu ya barabara.

Ameongeza kuwa mradi wa bomba la gesi kutoka Kinyerezi hadi Chalinze tayari umefanyiwa upembuzi yakinifu wenye thamani ya shilingi bilioni 2.3 na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), jambo litakaloongeza ufanisi wa upatikanaji wa nishati kwa viwanda mkoani Pwani.

Kwa upande wake, Meneja wa Mradi wa kongani hiyo, QS Bradley Cuthbert Muro, amesema ujenzi wa viwanda viwili umefikia hatua za mwisho, ambapo kiwanda cha chuma kimefikia asilimia 85 ya ujenzi huku kiwanda cha cubes kikifikia asilimia 95. Amesema uzalishaji unatarajiwa kuanza rasmi ifikapo mwezi Machi 2026.

Ameongeza kuwa kongani hiyo itajumuisha viwanda vya uzalishaji mkubwa, wa kati na mdogo, ambapo awamu ya kwanza itahusisha viwanda vya uzalishaji mkubwa vitakavyoanza kuzalisha nondo, mabati na mabomba ya chuma ya mraba kuanzia Machi 2026. Alisema ikikamilika, kongani hiyo itakuwa na viwanda vya uzalishaji wa nondo, mabati, steel pipes, hollow sections (RHS, SHS na CHS), flat bars pamoja na misumari.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98