• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Rais Samia Ametoa Tan 300 za Maharage,Mchele na Unga kwa waathirika wa Mafuriko Kibiti na Rufiji-EC Kunenge

Posted on: April 15th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amepokea misaada ya Tan 300 za unga,mchele na maharage kutoka kwa mh.Rais Samia Suluhu Hassan.

Kunenge amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa msaada ili kuodokana na changamoto ya mafuriko Mkoani humo. 

“Tumepokea tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage kutoka kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, tunamshukuru Sana Kwa msaada huu ambapo anaendelea kutoa , tumeshapokea tani 32 za mchele na nyingine zipo 

Alieleza mpaka sasa katika tatizo hilo lililojitokeza kuna kambi 7 zenye wananchi 749 kwa wilaya za Kibiti na Rufiji.

Kunenge alieleza kuwa idadi nyingine ya waathirika wamehifadhiwa kwa ndugu jamaa na marafiki.

Alieleza kuwa makambi yameimarika na kuna huduma zote muhimu zinapatikana.

Vilevile Mkuu huyo wa Mkoa alieleza ,kuhusu elimu wanaweka utaratibu mzuri wa wanafunzi kupata elimu na mafunzo kufidia muda ambao hawakusoma.

Pamoja na hayo alitoa tahadhari kwa wananchi kuacha kutumia mitumbwi kwenye maeneo yenye mafuriko kwani maji yanakasi kubwa.

Pia aliwaasa wananchi kuwa eneo hilo lina mamba na nyoka wa kubwa hivyo waendelee kuchukua tahadhari.

Mkoa wa Pwani unaendelea kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa wadau na Serikali ambapo April 14 Ofisi ya Waziri Mkuu ilitoa tani 31 za Unga kwa waathirika wa mafuriko Kibiti na Tani 64 kwa Wilaya ya Rufiji sanjali na mahema 

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200