• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RAS Pwani asisitiza Uwajibikaji , Uadilifu kwa Watumishi

Posted on: November 18th, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema amesisitiza umuhimu wa watumishi kuwajibika kwa kufanya kazi kwa uadilifu, kuzingatia kanuni, taratibu, sheria na miongozo ya utumishi wa Umma.

Mnyema ametoa msisitizo huo leo Novemba 18, 2025 wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Chalinze ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kuzitembelea Halmashauri zote za Mkoa huo inayohusisha pia ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

"Uadilifu ni pamoja na kuwa mnyenyekevu, kuepuka rushwa, ubadhirifu na kutosababisha maumivu kwa watumishi mwenzako," alisema.

Pia amesisitiza watumishi kuzingatia ushirikiano, upendo, kuhakikisha wanatoa huduma  bora kwa wananchi.

"Kama watumishi wa Umma tunawajibu mkubwa wa kuweka  malengo halisi ambayo yatakidhi matarajio ya Wananchi na si kuwa miungu watu" aliongezea.

Alisistiza pia kuhusu uzingatiaji matumizi ya mifumo ya Serikali ukiwa ule mfumo wa upimaji wa utendaji kwa watumishi PEPMIS.

"Tunafahamu kuwa Dunia inakwenda kasi sna kulingana na Teknolojia na Serikali imeanza kutumia mifumo hiyo hivyo tunapaswa kwenda sambamba na mifumo hiyo" alisema

Katika ziara hiyo, Mnyema alipata fursa ya kutembelea  na kukagua miradi ambayo ni  mradi wa Ujenzi  na uendelezaji wa miundombinu ya Hospitali ya Msoga pamoja na Mradi wa vyumba vya Biashara (fremu) katika kituo cha mabasi cha chalinze.

              

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98