• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RAS Pwani atoa awapongeza wananchi wa Pwani kwa kujitokeza kwa Wingi katika Kujiandisha.

Posted on: October 20th, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Rashidi Mchatta, ametoa pongezikwa  wananchi mkoani hapa kwa  kuendelea kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Pongezi hizo amezito  leo Oktoba 20,2024, wakati alipofanya ziara fupi ya kutembelea  vituo mbalimbali vya kuandikisha wapiga kura katika Halmashauri za Bagamoyo, Chalinze Kibaha na Halmashauri ya Mji kibaha, ambapo alipita na kuendelea kuwahimiza  wananchi kuchangamkia fursa hiyo, hasa ikizingatiwa kuwa leo ni siku ya mwisho ya zoezi hilo.

Akizungumza na wananchi, Mchatta amewaeleza kuwa kujiandikisha ni hatua muhimu inayowawezesha kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo, na pia ni haki yao ya kikatiba.

Aidha, amewasistiza kuwa ushiriki wao katika zoezi hili utawapa fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka ambao watawaletea maendeleo katika maeneo yao.

Katika hatua nyingine, Mchatta amewapongeza Wakurugenzi wa Halmashauri hizo kwa usimamizi mzuri wa zoezi la uandikishaji wa wapiga kura.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98