Katibu Tawala mkoa wa Pwani Rashid Mchata amewataka viongozi wa Halmashauri zote za mkoa huo kuongeza kasi ya usimamizi na ujenzi wa vyumba vya madarasa unaotekelezwa kupitia mradi wa BOOST.
Mchata ambaye pia ni Skauti Mkuu wa Tanzania ametoa kauli hiyo leo Juni 21, 2023 wakati akizungumza na watumishi na madiwani kwenye kikao maalum cha baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze lililokutana kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali-CAG.
Amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa unaondelea hivyo watendaji waongeze bidii ili yakamilike kwa wakati na kwa kiwango ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuanza masomo yao mapema mwaka 2024.
“Serikali imetoa fedha nyingi kupitia mradi wa BOOST kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa lakini kasi yenu bado ni ndogo, nnaomba muongeze bidii ili yakamilike kwa wakati,” amesema Mchata.
Katika hatua nyingine, Karibu Tawala huyo Ali tumia fursa hiyo kuzipongeza halmashauri hiyo kwa kupunguza hoja za ukaguzi.
RAS Pwani azitaka hamashauri kuongeza kasi ukamilishaji madarasa*

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.