• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge aipongeza TBA Ujenzi nyumba za Makazi Pwani

Posted on: October 24th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ameipongeza Wakala wa Majengo ya Tanzania TBA kwa juhudi zake za kubuni na kupanga mikakati ya kujenga nyumba za kisasa kwa ajili ya makazi ya wananchi na watumishi wa umma Mkoani Pwani.

Kunenge ametoa pongezi hizo  Oktoba 24, 2025 alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka TBA uliongozwa na Mkurugenzi wa Miliki Bw. Said Mndeme walipofanya ziara fupi Mkoani Pwani kwa lengo la kufanya ukaguzi wa maeneo wanayomiliki na kujadiliana kuhusu utekelezaji wa mipango ya ujenzi wa nyumba za makazi na upangishaji katika Mkoa huo.

Katika mazungumzo hayo, Kunge amesema hatua hiyo ni muhimu katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa nyumba za kuishi, hasa wakati huu ambapo Mkoa wa Pwani unaendelea kukua kwa kasi kiuchumi na kuwa kitovu cha viwanda nchini.

“Mkoa wa Pwani ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa uwekezaji wa viwanda nchini, ukuaji huu wa sekta ya viwanda umesababisha ongezeko kubwa la watu wanaohamia kufanya kazi na kuishi katika maeneo mbalimbali ya mkoa, jambo linaloongeza mahitaji ya nyumba bora za makazi,” amesema.

Mkuu huyo wa Mkoa amewahakikishia TBA ushirikiano wa Serikali ya Mkoa wa Pwani katika kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa ufanisi, akisisitiza kuwa Serikali ya Mkoa ipo tayari kutoa usaidizi wowote utakaohitajika ili kuhakikisha malengo ya taasisi hiyo yanafikiwa.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Miliki wa TBA amesema kuwa ziara yao imelenga kukagua na kutathmini maeneo yote yanayomilikiwa na wakala huo ili kuhakikisha yako salama, yanatambulika kisheria na yanatumiwa kwa ufanisi. Ameongeza kuwa TBA inaendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuanza miradi ya ujenzi wa nyumba katika maeneo yote inayoyamiliki, kwa lengo la kuongeza wigo wa upatikanaji wa makazi bora kwa watumishi wa serikali na wananchi kwa ujumla.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77