• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge akabidhi Vitendea kazi vya Zaid ya Sh. Bilion 7 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Pwani

Posted on: October 24th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Aboubakari Kunenge, amekabidhi magari 12 na boti moja vyenye thamani ya shilingi bilioni 7.9 kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo leo Oktoba 24, 2025, Mhe. Kunenge ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais wa Awamu ya Sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuboresha vitendea kazi vya vyombo vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Amesema upatikanaji wa magari na boti hizo utaimarisha uwezo wa jeshi hilo katika kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kuokoa maisha na mali za wananchi hususan wakati wa majanga ya moto na maafa ya majini.

“Tunamshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza katika vifaa vya uokoaji. Uboreshaji huu utasaidia kuongeza ufanisi katika kazi za zimamoto na kuimarisha usalama wa wananchi wetu,” amesema Mhe. Kunenge.

Kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Pwani, Jenifa Shirima, amemshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kulipa jeshi hilo kipaumbele katika upatikanaji wa rasilimali na vifaa muhimu.

Amesema magari na boti vilivyokabidhiwa vitasaidia kwa kiasi kikubwa katika majukumu ya uokoaji, ikiwemo usafirishaji wa wagonjwa, kudhibiti moto, na kutoa huduma za haraka katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Pwani.

“Vifaa hivi vitasaidia kuongeza kasi ya majibu wakati wa dharura na kupunguza madhara yanayosababishwa na majanga ya moto na ajali. Tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa kuona umuhimu wa kuboresha huduma za zimamoto nchini,” amesema Kamanda Shirima.

Upatikanaji wa vifaa hivyo ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha taasisi za ulinzi na usalama zinakuwa na vifaa vya kisasa vinavyowezesha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Madiwani wa Kibaha na Chalinze watakiwa Kuwa Mabalozi wa Usimamizi Bora wa Miradi ya Maendeleo

    January 15, 2026
  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Afungua mafumzo ya mfumo wa O&D Ulioboreshwa

    January 15, 2026
  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77