• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

Posted on: January 9th, 2026

Leo, Januari 8, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mheshimiwa Abubakar Kunenge, ameendesha kikao kazi maalum cha kutoa muongozo na maelekezo ya utekelezaji wa shughuli za Serikali katika sekta zote mkoani Pwani.

Akizungumza katika kikao hicho, Mheshimiwa Kunenge alisema lengo la mkutano huo ni kuwapa viongozi na watendaji wa Serikali miongozo ya pamoja, akibainisha kuwa Serikali ipo ndani ya siku 100 tangu Rais ateuliwe, hivyo kuna majukumu muhimu yanayopaswa kutekelezwa kwa mshikamano.

“Tumekutana kwa pamoja kwa lengo la kupeana miongozo, kwa kuwa tunafahamu kuwa tupo ndani ya siku mia moja tangu Mheshimiwa Rais ateuliwe, na kuna mambo muhimu yanayotakiwa kufanyika kwa pamoja,” alisema Kunenge

Alisisitiza umuhimu wa kuwa na utekelezaji wa pamoja, mtazamo mmoja na vipaumbele vinavyofanana ili kufanikisha malengo ya maendeleo ya Mkoa. Aidha, aliwataka viongozi na watendaji kufahamu vipaumbele vya Mkoa wa Pwani kwa sasa na kuvitendea kazi ipasavyo.

“Tuna mambo mengi ya kufanya, lakini tunayo vipaumbele ambavyo tukivitekeleza kwa ufanisi vitatuletea tija kubwa zaidi,” aliongeza.

Katika hatua nyingine, Mkuu huyo wa Mkoa amezitaka baadhi ya Halmashauri kuongeza wigo wa mapato ya ndani kwa kubuni vyanzo vipya na kuacha kutegemea vyanzo vya zamani ambavyo havileti tija ya kutosha.

Kunenge pia aliwataka watendaji wote wa Serikali mkoani Pwani kufanya kazi kwa ushirikiano, kupunguza urasimu katika utekelezaji wa majukumu yao na kuhakikisha malengo ya Serikali yanafikiwa kwa wakati. Vilevile, aliwahimiza Waheshimiwa Madiwani kushirikiana na taasisi za umma ili kumuunga mkono Mheshimiwa Rais katika juhudi za kuwaletea wananchi maendeleo.

Kuhusu suala la utawala bora, Kunenge alisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, hivyo ni muhimu kuheshimu mihimili yote mitatu ya dola ili kudumisha haki, uwajibikaji na utawala wa sheria.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Destiny uliopo Manispaa ya Kibaha, na kimehudhuriwa na viongozi wakuu wa Mkoa na Wilaya, watendaji wakuu wa Serikali, wawakilishi wa taasisi wezeshi pamoja na Waheshimiwa Madiwani.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98