• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

RC kunenge awataka wataalam wa Afya Mkoani Pwani ,kutumia utaalam wao vizuri ili kupunguza Vifo vya mama na mtoto.

Posted on: May 30th, 2022

Mkuu wa Mkoa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amewataka watalaam wa afya Mkoani hapo kutumia utaalamu wao na kuja na Mikakati mizuri ili kupata matokeo mazuri ya kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

Kunenge ameyasema hayo Mei 30, 2022 wakati akifungua kikao kazi cha Wataalamu na Wadau wa Utekelezaji wa Mradi wa KOFIH Wilayani Bagamoyo ukumbi wa Millennium beach Resort

Kunenge amewataka Wataalamu hao kushirikisha Wananchi katika uaandaaji wa mipango yao.

"Lazima mjipange mumize Vichwa tupate Mikakati yenye matokeo chanya" alisema Kunenge.

Kunenge amewaeleza kuwa tayari "Matarajio yanafahamika katika Sera na ilani ya chama cha mapinduzi nini kifanyike kufikia malengo hayo ni kazi yenu Wataalamu" alisema Kunenge.

Kunenge ameeleza kuwa kupitia mradi huo Mkoa umeweza kupunguza Vito vya akina mama vitokanavyo na uzazi toka 82 mwaka 2015 hadi 51 mwaka 2021 na vifo vya watoto wachanga vimepungua kutoka 887 mwaka 2015 hadi 392 mwaka 2021.

Kunenge amewashukuru wadau hao kuwa kuongeza mwaka mmoja wa Mradi na kufanya mradi huu kuwa wa miakw 7 na wameongeza kiasi cha pesa toka dola za kimarekani 3,000,000 kufikia dola 4,900,000.

Awali akizungumzia faida mbalimbali zilizotokana na mradi wa KOFIH Mkoani Pwani mganga mkuu Dr Guni Kamba amesema wameweza kupata mafunzo mbalimbali ikiwemo ya Wataalam watoa dawa za usingizi, Ujenzi wa vyumba vya upasuaji, vifaa tiba, ambulance na kujengewa wadi za wagonjwa,

Pia mwakilishi wa wizara Dr.Phineas sospiter amelishukuru Mradi wa KOFIH Kwa kuisadia wizara kupunguza vifo vya mama na mtoto.

Naye Mr Seungrae Ha Mwakilishi KOFIH Tanzania amesema kwa pamoja tumeweza kukuza huduma za Afya Tanzania, na wamekutana kwenye kikao hicho kufanya Tathimin ya Mradi kwa miaka 6 iliyopita na kupanga mipango ya Utekelezaji kwa mwaka ujao.

Kikao hicho kilihudhuriwa na madaktar Wakuu wa Wilaya timu za usimamizi wa Afya za Wilaya wawakilishi kutoka Mikoa ya Pwani, Dodoma na Morogoro. Kwa Mkoa wa Pwani Mradi huu unatekelezwa katika Halmshauri 6 za Mkoa huo

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.