• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

RC Pwani apokea msaada wa Ng’ombe 300 na Mbuzi 2,000 kwa Ajili ya Ibada ya Iddi kutoka Taasisi ya IDDef ya Uturuki.

Posted on: June 6th, 2025

Leo Juni 6 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo amepokea jumla ya ng’ombe 300 na mbuzi 2,000 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya IDDef yenye makao yake nchini Uturuki, kwa ajili ya kuwawezesha waumini wa dini ya Kiislamu kushiriki ibada ya kuchinja katika Sikukuu ya Iddi El-Adh’ha.

Msaada huo umetolewa kwa lengo la kusaidia waumini katika Mkoa wa Pwani kutekeleza ibada hiyo muhimu ya Kiislamu, kama sehemu ya ibada ya Idd inayoadhimishwa na Waislamu duniani kote.

Akikabidhi rasmi mifugo hiyo kwa Mkuu wa Mkoa, Mwenyekiti wa Taasisi ya IDDef, Bw. Abdul Hamid Khann, alisema kuwa msaada huo umetolewa kama sadaka kutoka kwa Waislamu wa Uturuki, kwa nia ya kushirikiana na wenzao wa Tanzania katika kipindi hiki cha ibada.

Mhe. Kunenge ameishukuru taasisi hiyo kwa mchango huo mkubwa, akibainisha kuwa mifugo yote imekaguliwa na kuthibitika kuwa mizima na inayofaa kwa matumizi ya kitoweo. Aidha, alieleza kuwa Serikali ya Mkoa tayari imeandaa utaratibu maalum kuhakikisha kuwa sadaka hiyo inawafikia waumini wote kwa haki katika maeneo yote ya Mkoa wa Pwani.

Akizungumza kwa niaba ya Sheikh wa Mkoa, Kadhi wa Mkoa wa Pwani, Sheikh Rashid Changunda, aliipongeza IDDef kwa moyo wa upendo na mshikamano waliouonesha, akisema kuwa msaada huo ni baraka kubwa na kielelezo cha udugu wa Kiislamu unaovuka mipaka ya nchi.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madaktari Bingwa 64 wawasili Pwani kwa Huduma maalum chini Mpango wa Rais Dkt Samia

    June 09, 2025
  • RC Pwani apokea msaada wa Ng’ombe 300 na Mbuzi 2,000 kwa Ajili ya Ibada ya Iddi kutoka Taasisi ya IDDef ya Uturuki.

    June 06, 2025
  • Mchatta Afungua Mashindano ya Umisseta Kimkoa

    June 07, 2025
  • Naibu Katibu Mkk OR- TAMISEMI azuru Mkoa Pwani kwa ukaguzi wa Huduma za Afya

    June 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.