• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Ridhiwani Kikwete awataka Watendaji nchini kutatua Migogoro ya ardhi inayowakabili wawekezaji ikiwa na sehemu ya kujenga mazingira rafiki kwa wawekezaji

Posted on: October 9th, 2022

Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewaagiza Watendaji wa idara ya ardhi nchini kutatua migogoro ya ardhi inayowakabili wawekezaji ikiwa ni sehemu ya kuwajengea mazingira rafiki ya uwekezaji.

Aidha amesema , dhamira ya Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuondoa changamoto mbalimbali za wawekezaji na wananchi wengine ikiwa ni pamoja na kupunguza Kama sio kumaliza migogoro yao ya ardhi .

Ridhiwani aliyaeleza hayo wakati alipofika kutembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, SINOTAN,KINGLION katika Maonyesho ya tatu ya Uwekezaji na Biashara yanayoendelea katika viwanja vya standi ya mailimoja kibaha mkoani Pwani.

"Mwananchi anakuja anaonekana kuwa na tatizo linalohitaji usuluhishi lakini wewe Mtumishi badala ya kuwa suluhisho au kuwa njia ya kumtafutia jawabu la tatizo linalomkabili wewe nawe unakuwa sehemu ya ukwamishaji” alieleza Ridhiwani.

Alisema Wizara hiyo lazima iwe suluhisho la migogoro ya ardhi na sio kikwazo cha kuwaacha wakiteseka katika migogoro mbalimbali inayowakabili.

“Wewe Mtendaji lazima utoke uende kwenye maeneo ukaangalie ni jinsi gani unaweza kusuluhisha migogoro na ile ya jamii na wawekezaji, alisema Ridhiwani.

“Rais Samia ameifungua nchi kwa uwekezaji amekwenda nchi mbali mbali duniani kutangaza fursa za uwekezaji tulizonazo hapa nchini amewaita wawekezaji wamekuja nchini kuwekeza sasa kukiwa na migogoro itakwamisha juhud za Rais" Alisema.

Ridhiwani alimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa kuandaa Maonyesho hayo ambayo yametoa fursa kwa wawekezaji kutangaza bidhaa zao.

Katika hatua nyingine,alikabidhi hati za viwanja tano kwa wananchi waliokamilisha hatua zote za manunuzi mkoani humo.

Nae Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Pwani Hussein Idd alisema zaidi ya hati 150 zimetolewa kwa siku za maonyesho ya biashara yanayoendelea huku zaidi ya hati 300 zikiwa tayari zimekamika zilizokamilishwa.

B ilion 2.5 Chalinze kwa ajili ya upimaji wa ardhi wameweka mkakati wa kutoa huduma kwa wananchi wenye malalamiko

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.