• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Serikali kuboresha Miundomibinu ya umeme na Barabara kukuza Uwekezaji Zegereni

Posted on: October 17th, 2025

Serikali imepanga kuboresha miundombinu ya umeme na barabara katika Eneo la Viwanda la Zegereni, mkoani Pwani, ili kuongeza ufanisi wa uzalishaji na kuvutia wawekezaji zaidi katika sekta ya viwanda.

Mpango huo unajumuisha kufungwa kwa transformer yenye uwezo wa MVA 45, kuanzishwa kwa laini maalum ya umeme kwa ajili ya viwanda vya eneo hilo, pamoja na ujenzi wa barabara za kisasa zinazounganisha viwanda na barabara kuu. Lengo kuu ni kupunguza changamoto za kukatika kwa umeme na kuboresha mazingira ya uzalishaji.

Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya viwanda hivyo, Mkuu wa Mkoa  wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge  alisema kuwa ,hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuimarisha maeneo ya viwanda nchini, sambamba na kuvutia wawekezaji wapya na kuongeza ajira.

“Eneo la Zegereni limekua kwa kasi na limekuwa kitovu muhimu cha uzalishaji. Serikali imejipanga kuhakikisha changamoto za miundombinu zinashughulikiwa ili kuwezesha ukuaji endelevu wa viwanda,” alisema Mkuu wa Mkoa.

Kunenge amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa kituo kidogo cha umeme cha Zegereni umeanza. Pia, mipango inaendelea ya kujenga laini mpya ya umeme kutoka Mlandizi hadi Zegereni na kuanzisha huduma ya gesi asilia kutoka Kituo chaUbungo hadi Chalinze ikijumuisha eneo hilo la viwanda.

Zegereni ni miongoni mwa maeneo ya kimkakati ya viwanda nchini na kwa sasa linachangia sehemu kubwa ya uzalishaji wa bidhaa za ujenzi na vifaa vingine muhimu vya viwandani. Maboresho ya miundombinu yanatarajiwa kuongeza uzalishaji, kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea ukuaji wa uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla.

Katika ziara hiyo RC kunenge alitembelea viwanda vitatu ambavyo ni Kiwanda cha kutengeneza mabati cha King- Lion, Kiwanda cha Rangi  Esignia pamoja na kiwanda cha Nondo  Dongfang Steel vyote vikiwa katika eneo la Zegereni.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge ''Tunataka Pwani ya Kutatua Changamoto kwa Ubunifu wa Kimkakati''

    October 17, 2025
  • Serikali kuboresha Miundomibinu ya umeme na Barabara kukuza Uwekezaji Zegereni

    October 17, 2025
  • Miaka 10 ya TBPL: Kiwanda kinachochoea Maendeleo ya Kilimo na Afya Nchini.

    October 16, 2025
  • Bweni la Kisasa la Wanafunzi Wenye Mahitaji Maaum Lakamilika Shule ya Msingi Nianjema - Bagamoyo.

    October 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.