• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

Simbachawene Amsifu RC Pwani kwa Uongozi Bora na Ushirikishi wa Watendaji

Posted on: December 18th, 2025

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa uongozi wake mahiri na namna anavyowashirikisha watendaji wa mkoa katika utekelezaji wa shughuli za Serikali kwa ufanisi.

Akizungumza wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa ahadi za Rais za siku 100, Waziri Simbachawene alisema Mkoa wa Pwani una bahati ya kuwa na kiongozi mwenye uwezo mkubwa wa kiuongozi anayehakikisha watendaji wanashirikishwa kikamilifu katika kazi zao.

“Mna kiongozi mzuri sana mwenye uwezo mkubwa. Kila nikija ananiambia nije nisalimie watu, na ninapofika nakuta watendaji wamejipanga na wanafanya kazi kwa vitendo,” alisema Waziri Simbachawene.

Aidha, Waziri huyo alisisitiza kuwa matarajio ya Serikali ni kuona maendeleo ya mkoa yanaenda sambamba na maendeleo ya wananchi wake. Alieleza kuwa ukuaji wa miundombinu na mazingira unapaswa kuakisi pia ustawi wa maisha ya wananchi wa kawaida.

Alibainisha kuwa utoaji wa huduma za kijamii ikiwemo elimu na afya, pamoja na kuimarisha uchumi wa wananchi na sekta za uzalishaji, ni mambo ya msingi katika kufikia maendeleo jumuishi. Huku akionya dhidi ya kuangalia maendeleo ya viwanda pekee bila kuzingatia manufaa yake kwa wananchi.

“Tusije tukabaki tunaangalia viwanda vinavyozalisha marumaru tukafikiri wananchi wanaguswa moja kwa moja. Ni muhimu kuwaunganisha wananchi kwenye mfumo wa ajira ili waone manufaa ya viwanda hivyo,” alisisitiza.

Kwa mujibu wa Waziri Simbachawene, mafanikio ya maendeleo ya mkoa yataonekana pale ambapo maisha ya wananchi yatakapoboreshwa, ikiwemo uwezo wa kuwapeleka watoto shule, kuendeleza shughuli zao za kiuchumi na kuimarisha ustawi wa familia kwa ujumla.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Pwani waadhimisha siku ya Kuzaliwa kwa Rais Sania kwa Kupamda miti 6,379

    January 26, 2026
  • Waziri Kikwete Azindua Jengo la Ofisi ya TAKUKURU Chalinze

    January 24, 2026
  • TAKUKURU Chachu ya Maendeleo ya Uwekezaji Pwani: RC Kunenge

    January 24, 2026
  • Madiwani Kibaha na Chalinze Watakiwa Kuimarisha Usimamizi wa Rasilimali za Umma

    January 16, 2026
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • slot gacor
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • toto slot
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • slot thailand
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • toto slot
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88