• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Viyambulisho Vilivyoboreshwa Kuwainua Wamachinga Kiuchumi -RC Kunenge

Posted on: December 4th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amezindua rasmi mpango wa ugawaji wa vitambulisho vipya vilivyoboreshwa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (Wamachinga), akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuboresha mazingira ya biashara na kuwapa fursa za kiuchumi.

Uzinduzi huo ulifanyika Disemba 4, 2024, katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Kibaha, ambapo baadhi ya Wamachinga walikabidhiwa vitambulisho vyao.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wamachinga Mkoa wa Pwani, Philemoni Maliga, na mwakilishi kutoka kundi la Mama Lishe walikuwa miongoni mwa waliopokea vitambulisho hivyo. RC Kunenge: Miradi ya Barabara Lazima Iweke Kipaumbele Mahitaji ya WananchiMkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Aboubakar Kunenge, ametoa wito wa kuhakikisha miradi ya barabara inazingatia mahitaji halisi ya wananchi, kama alivyoelekeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza katika kikao cha Bodi ya Barabara cha mwaka wa fedha 2024/2025 kilichofanyika Decemba 4,2024, Kunenge alisisitiza kuwa timu maalum iundwe ili kuorodhesha vipaumbele vya miradi kulingana na changamoto zinazowakabili wananchi.Alieleza kuwa utekelezaji wa miradi unapaswa kuanza na vipaumbele muhimu zaidi na kuendelea kwa mpangilio huo.

“Tunahitaji kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa kufuata mahitaji halisi ya wananchi.Tukianza na kipaumbele cha mwisho badala ya cha kwanza, tunakuwa hatujajibu changamoto za msingi za jamii,” alisema Kunenge.

Aidha, alisisitiza uwajibikaji wa viongozi katika usimamizi wa fedha za serikali, akihimiza matumizi mazuri yanayolenga kuleta matokeo yanayoonekana katika miundombinu ya barabara, usafiri, na usafirishaji.Kwa kusimamia vipaumbele hivi, mkoa wa Pwani unalenga kuboresha huduma za usafiri na kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wake.

Katika hatua nyingine Kunenge alieleza kuwa vitambulisho hivi vilivyoboreshwa vinaunganisha taarifa za mmiliki na namba ya NIDA, hivyo kuwasaidia Wamachinga kupata huduma kama mikopo ya benki na bima za kijamii kwa urahisi zaidi. Aliongeza kuwa mpango huu ni sehemu ya juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha kundi hilo muhimu linahudumiwa na kufanikisha maendeleo yao.

“Namshukuru Rais wetu kwa kuona umuhimu wa kuwajali Wamachinga. Vitambulisho hivi ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha kufanya biashara zao kwa uhuru, huku wakipata huduma stahiki za kijamii,” alisema Kunenge.


Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.