• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Wakuu wa Wilaya Mkoani Pwani watekeleza Agizo la Mhe Rais kwa Kusain Mkataba wa usimamizi wa Lishe.

Posted on: November 9th, 2022

Wakuu wa wilaya mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa usimamizi wa lishe ,ambao watapaswa kuusimamia utekelezaji wake kwa kipindi cha miaka minane ili kupunguza vifo na udumavu kwa watoto .

Mkataba huo ni hatua ya kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan ambapo watapaswa kusimamia utekelezaji kwa kipindi hicho.

Akiwasainisha mkataba huo, mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge aliwaeleza, baada ya hatua hiyo, watatakiwa kufanya muendelezo wa kuwasainisha mikataba wakurugenzi wa halmashauri zao kisha kushuka ngazi za chini hadi mitaa.

Alisema mikataba hiyo ina viashiria 14 vya utekelezaji ambavyo vinatakiwa kusimamiwa kutoka 10 vya awali.

“Mkataba huu una viashiria 14 vya utekelezaji ambavyo watendaji wanapaswa kuvisimamia ikiwemo kutenga pesa kiasi cha Sh.1, 000 kwa kila mtoto mwenye umri wa miaka mitano ili zitumike kwa lishe maeneo ya shuleni,” alieleza Kunenge.

Viashiria vingine ni asilimia ya sampuli za chumvi kutoka kwenye kaya zilizokusanywa kupitia wanafunzi na kupimwa uwepo wa madini joto.

“Tutawapima juu ya asilimia ya shule za msingi na sekondari zinazotoa chakula shuleni,” Matokeo ya kazi hii yatapimwa kwa vitendo na kuona kama yaliyomo kwenye mkataba yanatekelezwa ,na Kama hayatatekelezwa sitosita kuchukua hatua kulingana na kanuni zilizopo"alifafanua Kunenge.

Nae Mganga Mkuu Mkoani Pwani, dkt.Gunini Kamba alieleza,hali ya lishe inaimarika tofauti na miaka ya nyuma, jambo ambalo limetokana na juhudi za wataalamu wa lishe kutoa elimu kwa jamii.

“Baadhi ya wazazi walikuwa na mwamko mdogo juu ya lishe bora wakiamini kuwa vyakula kama chipsi mayai ndio lishe bora, jambo ambalo siyo bali hata mbogamboga pia ziko kwenye kundi la lishe,” Gunini anasema.

Gunini alifafanua kwamba, baada ya hatua ya kusaini mkataba huo, matarajio ni kupunguza idadi ya vifo vya watoto wachanga 11 kati ya vizazi hai 1000 ambavyo vilikuwepo kwenye ripoti ya mwaka 2021.

Hata hivyo,wataalamu wa afya wameshauriwa kuelekeza nguvu kwenye kutoa elimu ya lishe ndani ya jamii ili kuzalisha vizazi bora.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.