Mhe. Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani amekutana na wawekezaji kutoka Saudi Arabia. Wawekezaji Hao wamefika Mkoan Pwani kuangalia fursa za uwekezaji Katika Kilimo,Nyasi za Malisho,Viwanda vya kusindika Nyama.
wakiwa Mkoani Pwani watatembelea maeneo mbalimbali Mkoani Pwani ikiwemo Shamba la Malisho Vikuge,Kiwanda cha Nyama cha TANCHOICE,
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.