Posted on: July 15th, 2022
Wakuu wa Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam leo Julai 15, 2022 wametembelea mitambo ya Ruvu Juu na chini inayosukuma maji kupeleka Maeneo mbalimbali ya Mikoa hiyo.
Akiongelea hali ya upatikanaji maji ...
Posted on: July 6th, 2022
Bweni la Wavulana Chalinze Modern Islamic Primary School, Mkoani Pwani la ungua Moto, alfajiri ya Julai 5 mwaka huu, ambapo mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge amefika Shuleni hapo kujionea hali h...
Posted on: July 3rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amepokea mitambo ya kusafisha Maji chumvi (Solar Desalination System) yenye thamani ya Shilingi Milioni 700 zitakazo tumika katika Hospital ya Wilaya ya Maf...