Posted on: June 20th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, ameagiza kuchukuliwa hatua wale wote wanaobainika kusababisha hasara kwenye hoja za ukaguzi wa mahesabu na kuhakikisha hoja zote ambazo hazijafungwa zifungwe i...
Posted on: June 19th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameueleza uongozi wa Kampuni ya Lake Agro Investment Ldt inayoanzisha kilimo cha miwa na kujenga kiwanda cha Sukari Wilayani Rufiji kuwa Matarajio ya Mkoa na Ser...
Posted on: June 17th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amezihimiza Halmashauri za mkoani humo kutumia sehemu ya mapato yao kuwekeza ili ziweze kujiongezea uwezo wa kuondoa changamoto kwa wananchi.
Akiwa katika bar...