Posted on: June 17th, 2022
Mkuu wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, ameagiza kuchukuliwa hatua wale wote wanaobainika kusababisha hasara kwenye hoja za ukaguzi wa mahesabu na kuhakikisha hoja zote ambazo hazijafungwa zifungwe i...
Posted on: June 16th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amewataka Madiwani wa Halmshauri za Chalinze na Bagamoyo kujifunza masuala ya Uchumi, Ubunifu, uvumbuzi, Biashara na Masoko Ili kuzisaidia Halmshauri zao kuanzis...
Posted on: June 15th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhe Abubakar Kunenge, 2022 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) Leodgar Tenga.
Akizungumza kwenye kikao hicho J...