Posted on: May 1st, 2022
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahil Geraruma amewaasa viongozi, watendaji na wataalamu wa Halmashauri kusimamia fedha za miradi na kujenga tabia ya kuhifadhi nyaraka za ujenzi wa miradi ...
Posted on: May 1st, 2022
Jumla ya nyumba 515,668 zimeingizwa kwenye mfumo wa Zoezi la anwani za makazi sawa na asilimia 105.61 Mkoani Pwani.
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge alipotoa taarifa ya Mkoa...
Posted on: April 26th, 2022
Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mkoa wa Pwani umetoa misaada ya vitu mbalimbali na vyakula katika vituo vya kulelea watoto Cha Moyo Mmoja na kituo Cha Passion Kamelot...