Posted on: April 21st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaji Abubakar Kunenge ameuagiza uongozi wa Chama kikuu Cha Ushirika Mkoani Pwani CORECU kuwachukulia hatua Kali za kisheria wale watakaobainika kuhujumu Chama hicho.
Sambam...
Posted on: April 20th, 2022
Mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge amekemea vikali baadhi wafanyabiashara wa Chakula Mkoani humo ,kuacha kugeuza mwezi huu mtukufu wa Ramadhamani ni wa kuvuna Faida kwa kuongez...
Posted on: April 11th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amewataka wajumbe wa baraza la Ardhi wilaya ya Bagamoyo kufanya kazi kwa weledi bila kumuogopa mtu kwani hakuna aliye juu ya sheria.
Aidha amewataka kusi...