Posted on: May 2nd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amezitaka Halmashauri ambazo zimekuwa zikitoa zawadi hewa kwa watumishi bora wakati wa sherehe za Mei mosi zichukuliwe hatua kalia za kisheria.
...
Posted on: April 26th, 2021
Muu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo ametoa rai kwa waumini wa dini ya Kiislam wakati wakiendelea na mfungo wa mwezi wa Ramadhani kutumia muda kuliombea Taifa kuendelee kuwa tulivu, kum...
Posted on: April 26th, 2021
Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa ametoa agizo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hapa nchini kupita kwenye kila Halma...