Posted on: February 1st, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kusimamia majukumu yao ya kikatiba ya Kulinda Raia na Mali Zao Mkoani hapo.
" Ulinzi wenu unatakiwa uwe...
Posted on: January 29th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Mhandisi Evarist Ndikilo amefungua Warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo Watendaji wa Serikali na Sekta Binafsi Mkoani hapo juu ya dhana ya Kongano.
Ndikilo ameipongeza...
Posted on: December 24th, 2020
MKoa wa Pwani ,umepiga hatua kali na kufikia kuwa na viwanda vikubwa,vya kati,vidogo na vidogodogo 1,236 kwa mwaka 2020 kutoka viwanda 396 kwa mwaka 2016.
Kasi hiyo ya ujenzi wa viwanda ni kubwa nd...