Posted on: September 21st, 2020
.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo ametoa rai kwa wamiliki wa Viwanda ndani ya Mkoa huo kuzingatia haki na maslahi ya wafanyakazi wao.
Ndikilo alitoa rai hiyo wakati alipotembelea ...
Posted on: September 2nd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka wakuu wa Wilaya za Mkoa huo ambao hawajatekeleza agizo la kutengeneza madawati kumpa malelezo ya sababu zilizowakwamisha.
Akiongea wakati al...
Posted on: August 25th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dr Delphine Magere amewataka watumishi kuacha tabia ya kukaa ofisini na badala yake wajenge tabia ya kuwafikia wananchi na kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi wa ha...