Posted on: July 29th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt Delphine Magere ,amewataka watumishi katika Ofisi yake kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za utumishi wa umma.
Akiwa katika kikao cha kawai...
Posted on: July 22nd, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt Delphine Magere ameipongeza timu ya wataalamu wakitanzania wanaosimamia ujenzi wa mradi wa bwawa litakalotumika kuzalisha umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115)...
Posted on: July 21st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka Wakuu wa wilaya za mkoa huo kusimamia kikamilifu suala la lishe bora katika Wilaya Zao.
Mhandisi Ndikilo alitoa rai hiyo rai wakati...