Posted on: December 10th, 2019
Wajumbe wa bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani imetaka kupitiwa upya kwa mkataba wa mkandarasi wa barabara ya Tamco Kibaha kwenda Mapinga wilayani Bagamoyo wa kampuni ya Skol kutokana na kusuasua kuanza...
Posted on: December 10th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe.Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka watu wote waliovamia maeneo yakiwemo ya shule yaliyotengwa kwa ajili ya michezo wayaachie maeneo hayo mara moja ili waweze kuwapisha vijana...
Posted on: December 1st, 2019
Maambukizi ya virusi vya UKIMWI mkoani Pwani yamepungua kutoka asilimia 5.9 na kufikia asilimia 5.5 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Katika hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist N...