Posted on: June 29th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo amewataka walengwa wanaoendelea kupokea ruzuku ya fedha toka mfuko wa maendelea ya jamii TASAF kuhakikisha wanazitumia fedha hizo vizuri kwa kujiwe...
Posted on: June 28th, 2018
Serikali Mkoani Pwani imesaini waraka wa makubaliano ya awali ya ushirikiano na jimbo la Fujian la nchini China katika nyanja mbalimbali ikiwemo uchumi,uwekezaji, afya na elimu.
Uwekaji wa saini hi...
Posted on: June 22nd, 2018
Wamiliki wa Viwanda Mkoani Pwani waaswa kuzalisha bidhaa kwa kutumia vipimo vinavyostahiki ili kuzalisha bidhaa bora zenye viwango na kuleta ushindani kwenye masoko ya ndani na nje y...